watermark logo

1 Views· 03 December 2022

Kombe la Dunia 2022: 'Mtu wa metro' ambaye amepata umaarufu Qatar

Advertisement

Advertise With Vidude


iogsport947norris
Subscribers

BBC imezugumza na wafuasi wa Abubakar Abbas, ambaye amekuwa maarufu kama 'mtu wa treni', kwa kuwaelekeza mashabiki kwenye Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar.

Abbas anatoka nchini Kenya, tangu kuanza kwa mashindano huko Qatar, video za namna ya uelekezaji wake zilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Mashabiki kutoka nchi mbalimbali wamekua wakisimama na kuchukua video za namna anavyofanya kazi zake.

#kenya #bbcswahili #qatar2022

Show more


Up next

Advertisement

Advertise With Vidude


0 Comments